Orbitex POS ni mfumo wetu wa mauzo wa kompyuta kwa maduka na matawi — kuuza haraka, kuskani barcode, stoo na ripoti za kila siku mahali pamoja.
Kinachojumuishwa
- Kuuza haraka na kuskani barcode
- Watumiaji wengi wenye wasifu wa wafanyakazi
- Stoo na makundi ya bidhaa
- Usimamizi wa matawi
- Ripoti za kila siku na Z-report
- Inafanya kazi na printa za risiti na droo za pesa
- Know your daily profit after sales and expenses
Bidhaa zinazohusiana
Imetengenezwa na sisi Orbitex VFD
Mashine ya kodi ya mtandaoni — Toa risiti za kodi kwa simu yako, fuatilia mauzo ya siku papo hapo na toa Z-re…
Imetengenezwa na sisi Orbitex POS
Mfumo wa mauzo — Mfumo wa mauzo wa kompyuta wenye kuuza haraka, kuskani barcode, stoo, wasifu wa wafanyakazi …
Mifumo Maalum
Imetengenezwa kwa ajili yako — Mifumo inayotengenezwa kulingana na kazi zako: stoo, ankara, kumbukumbu na zai…
Maswali na majibu
Inafanya kazi na printa yangu?
Orbitex POS inafanya kazi na printa za kawaida za risiti za 80mm na droo za pesa.
Wahudumu kadhaa wanaweza kuitumia?
Ndiyo, kila mfanyakazi anaingia kwa wasifu wake.
Mnaweza kunifungia?
Ndiyo, tunafunga, tunapanga mipangilio na kuifundisha timu yako.
Unavutiwa na Orbitex POS?
Ongea na timu yetu — tunajibu haraka na kutoa ushauri wa kweli na bei za wazi.
Unaweza pia kuhitaji
Mashine za EFD
Tunauza, kufunga na kuhudumia mashine za Incotex na Datecs zilizoidhinishwa na TRA.
Soma zaidiOrbitex VFD
Mashine yetu ya kodi ya mtandaoni ya kutoa risiti kielektroniki.
Soma zaidiKaratasi za Risiti za TRA
Karatasi halisi za risiti za TRA na roli za thermal 80mm kwa idadi yoyote.
Soma zaidiMifumo Maalum
Mifumo inayobuniwa kulingana na kazi zako: stoo, ankara, kumbukumbu na zaidi.
Soma zaidi





